HUNIACHI BY REUBEN KIGAME ft GLORIA MULIRO

gospel lyrics

chorus
Umeahidi wewe bwana- huniachi
Hadi mwisho wa dahari ulisema huniachi
Wewe ni Mungu uliye mwaminifu siku zote
Mimi ninaiweka imani yangu kwako baba

Nipitiapo maji mengi au moto, huniachi
Unalijua jina langu ewe bwana- huniachi
Unatengeneza njia hata mito kule jangwani
Wewe ndiwe alpha na omega- huniachi,(huniachi)

chorus

uliwalinda wa-isiraeli kule jangwani
Ukamtoa danieli kutoka tundu la simba
Wewe huwainua na wanyonge siku zote
Watuepusha na hatari kila siku usifiwe

chorus

Baba hata mama wanaweza- kunikana
Marafiki nao wanaweza nigeuka
Mara kwa mara maadui wanizunguka
Nitaishi kwa ahadi yako bwana- huniachi huniachi

chorus



CLICK TO WATCH VIDEO








Comments